Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 11:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Na hao pia, wasipokaa katika kulokuamini kwao, watatiwa, kwa maana Mungu aweza kuwatia temi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Nao Wayahudi, hali kadhalika; wakiacha utovu wao wa imani, watapandikizwa tena. Maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Nao Wayahudi, hali kadhalika; wakiacha utovu wao wa imani, watapandikizwa tena. Maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Nao Wayahudi, hali kadhalika; wakiacha utovu wao wa imani, watapandikizwa tena. Maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Wao nao wasipodumu katika kutokuamini kwao, watapandikizwa tena kwenye shina, kwa maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena kwenye hilo shina.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Wao nao wasipodumu katika kutokuamini kwao, watapandikizwa tena kwenye shina, kwa maana Mungu anao uwezo wa kuwapandikiza tena kwenye hilo shina.

Tazama sura Nakili

Waroma 11:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana nawaambieni, Hamtaniona kamwe tangu leo, hatta mtakaposema, Ameharikiwa ajae kwa jina la Bwana.

Lakini iwapo matawi mengine yamekatiwa, na wewe mzeituni mwitu ulitiwa kati yao ukawa mshirika wa shina la mzeituni na unono wake,

Kwa maana ikiwa wewe ulikatwa ukatolewa katika mzeituni ulio mzeituni mwitu kwa asili yake, ukatiwa, kinyume cha asili, katika mzeituni ulio mwema; si zaidi sana wale walio wa asili watatiwa katika mzeituni wao wenyewe.

Lakini wakati wo wote itakapomgeukia Bwana ule utaji huondolewa.

Bassi twaona ya kuwa bawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo