Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 11:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 kwa maana ikiwa Mungu hakuyaachia matawi ya asili, wala hatakuachia wewe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kwa maana, ikiwa Mungu hakuwahurumia Wayahudi ambao ni kama matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kwa maana, ikiwa Mungu hakuwahurumia Wayahudi ambao ni kama matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kwa maana, ikiwa Mungu hakuwahurumia Wayahudi ambao ni kama matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Kwa maana kama Mungu hakuyahurumia matawi ya asili, wala hatakuhurumia wewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Kwa maana kama Mungu hakuyahurumia matawi ya asili, wala hatakuhurumia wewe.

Tazama sura Nakili

Waroma 11:21
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini iwapo matawi mengine yamekatiwa, na wewe mzeituni mwitu ulitiwa kati yao ukawa mshirika wa shina la mzeituni na unono wake,

Bassi utasema, Matawi yalikatiwa illi nitiwe mimi.

Marra haba. Yalikatiwa kwa kutokuamini kwao, na wewe wasimama kwa imani yako. Usijivune bali uogope;

Fahamu, bassi, wema na ukali wa Mungu; kwa wale walioanguka ukali, bali kwako wema, ukikaa katika wema huo; kama sivyo, wewe nawe utakatiliwa mbali.

Yeye asiyemwachilia Mwana wake yeye, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote, atakosaje kutukarimia na vitu vyote pamoja nae?

Tena napenda kuwakumbusha, ijapo mmekwisha kujua haya yote, ya kwamba Bwana, baada ya kuwaokoa watu katika inchi ya Misri, aliwaharibu wasioamini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo