Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 11:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Bassi nasema, Je! wamejikwaa hatta wameanguka kabisa? Hasha! Lakini kwa kosa lao wokofu umewafikilia mataifa, illi wao watiwe wivu:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Basi, nauliza: Je, Wayahudi wamejikwaa hata wakaangamia kabisa? Hata kidogo! Kutokana na kosa lao ukombozi umewajia watu wa mataifa mengine, ili Wayahudi wapate kuwaonea wivu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Basi, nauliza: Je, Wayahudi wamejikwaa hata wakaangamia kabisa? Hata kidogo! Kutokana na kosa lao ukombozi umewajia watu wa mataifa mengine, ili Wayahudi wapate kuwaonea wivu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Basi, nauliza: je, Wayahudi wamejikwaa hata wakaangamia kabisa? Hata kidogo! Kutokana na kosa lao ukombozi umewajia watu wa mataifa mengine, ili Wayahudi wapate kuwaonea wivu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Hivyo nauliza tena: Je, Waisraeli walijikwaa ili waanguke na kuangamia kabisa? La, hasha! Lakini kwa sababu ya makosa yao, wokovu umewafikia watu wa Mataifa, ili kuwafanya Waisraeli waone wivu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Hivyo nauliza tena: Je, Waisraeli walijikwaa ili waanguke na kuangamia kabisa? La, hasha! Lakini kwa sababu ya makosa yao, wokovu umewafikia watu wa Mataifa, ili kuwafanya Waisraeli waone wivu.

Tazama sura Nakili




Waroma 11:11
14 Marejeleo ya Msalaba  

Atakuja na kuwaangamiza wale wakulima, na lile shamba la mizabibu atawapa wengine.


Na walipokuwa wakitoka katika sunagogi la Wayahudi, watu wa mataifa wakawasihi kuwaambia maneno haya sabato ya pili.


Walipopingamana nae na kutukana, akakungʼuta mavazi yake, akawaambia, Damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu: mimi ni safi: langu sasa nitakwenda kwa watu wa mataifa.


Lakini nasema, Israeli hakufahamu? Hapo kwanza Musa anena, Nitawatieni moyo wa bidii kwa watu wasio taifa, Kwa taifa lisilo na fahamu nitawaghadhabisha.


BASSI, nauliza. Mungu aliwasukumia mbali watu wake? Hasha! maana mimi nami ni Mwisraeli, mmoja wa wazao wa Ibrahimu, mtu wa kabila ya Benjamin.


bassi ikiwa kosa lao limekuwa utajiri wa ulimwengu, na upungufu wao umekuwa utajiri wa mataifa, je! si zaidi sana utimilifu wao?


Huenda nikapata kuwatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi vao.


vivyo hivyo na hao wameasi sasa, illi kwa kurehemiwa kwenu wao nao wapate rehema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo