Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 10:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Lakini yasemaje? Lile neno ni karibu nawe, katika kinywa chako, na katika moyo wako; yaani ni lile neno la imani tulikhubirilo;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Maandiko Matakatifu yasema hivi: “Ujumbe huo wa Mungu uko karibu nawe, uko kinywani mwako na moyoni mwako” nao ndio ile imani tunayoihubiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Maandiko Matakatifu yasema hivi: “Ujumbe huo wa Mungu uko karibu nawe, uko kinywani mwako na moyoni mwako” nao ndio ile imani tunayoihubiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Maandiko Matakatifu yasema hivi: “Ujumbe huo wa Mungu uko karibu nawe, uko kinywani mwako na moyoni mwako” nao ndio ile imani tunayoihubiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Lakini andiko lasemaje? “Lile neno liko karibu nawe, liko kinywani mwako na moyoni mwako,” yaani lile neno la imani tunalolihubiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Lakini andiko lasemaje? “Lile neno liko karibu nawe, liko kinywani mwako na moyoni mwako,” yaani, lile neno la imani tunalolihubiri.

Tazama sura Nakili




Waroma 10:8
14 Marejeleo ya Msalaba  

Huyu manabii wote humshuhudia, ya kwamba kwa jina lake killa amwaminiye atapewa ondoleo la dhambi.


Wakamwambia, Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka pamoja na uyumba yako.


Bassi imani, chanzo chake ni kusikla; na kusikia kunakuja kwa neno la Mungu.


Nataka kujifunza neno bili moja kwenu. Mlipokea Roho kwa matendo ya sharia, au kwa kusikia kunakotokana na imani?


Bassi, yeye awaruzukiae Roho na kufanya miujiza kati yenu, afanya hayo kwa matendo ya sharia, au kwa kusikia kunakotokana na imani?


kusudi alitakase na kulisafisha kwa maji, na kwa Neno;


Ukiwakumhusha ndugu hayo, utakuwa mkhudumu mwema wa Yesu Kristo, na mzoevu wa maneno ya imani, na ya mafundisho yale mazuri uliyoyafuata.


kwa kuwa mmezaliwa marra ya pili, si kwa mbegu iharibikayo, bali isiyoharibika, kwa neno la Mungu lenye uzima, na lidumulo hatta milele.


Bali Neno la Bwana hudumu hatta milele. Na neno bilo ni neno lile jema lililokhubiriwa kwenu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo