Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 10:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 au, Ni nani atakaeshuka kuzimuni? (yaani, ni kuleta Kristo juu, kutoka kwa wafu.)

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 wala usiseme: ‘Nani atashuka mpaka kuzimu?’ (yaani, kumleta Kristo kutoka kwa wafu).”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 wala usiseme: ‘Nani atashuka mpaka kuzimu?’ (yaani, kumleta Kristo kutoka kwa wafu).”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 wala usiseme: ‘Nani atashuka mpaka kuzimu?’ (yaani, kumleta Kristo kutoka kwa wafu).”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 “au ‘Ni nani atashuka kwenda Kuzimu?’” (yaani ili kumleta Al-Masihi kutoka kwa wafu).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 “au ‘Ni nani atashuka kwenda kuzimu?’ ” (yaani ili kumleta Al-Masihi kutoka kwa wafu.)

Tazama sura Nakili




Waroma 10:7
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akamsihi asiwaamuru waende zao hatta abusso.


aliyetolewa kwa ajili ya makosa yetu, na kufufuliwa illi tupate kupewa haki.


Bassi, Mungu wa amani aliyemleta tena kutoka wafu Mchungaji wa kondoo aliye mkuu, kwa damu ya agano la milele, Bwana wetu Yesu,


Kwa maana Kristo nae aliteswa marra moja kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili yao wasio baki, illi atulete kwa Mungu; mwili wake akifishwa, bali roho yake akihuishwa.


alioko mkono wa kuume wa Mungu, amekwenda zake mbinguni, malaika na enzi na nguvu zimetiishwa chini yake.


na aliye hayi; nami nalikuwa nimekufa, na tazama ni hayi hatta milele na milele. Amin. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo