Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 10:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Kwa maana Kristo ni mwisho wa sharia, illi killa aaminiye apate haki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Maana kwa kuja kwake Kristo, sheria imefikia kikomo chake, ili wote wanaoamini wafanywe waadilifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Maana kwa kuja kwake Kristo, sheria imefikia kikomo chake, ili wote wanaoamini wafanywe waadilifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Maana kwa kuja kwake Kristo, sheria imefikia kikomo chake, ili wote wanaoamini wafanywe waadilifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kwa maana Al-Masihi ni ukomo wa sheria ili kila mtu aaminiye ahesabiwe haki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kwa maana Al-Masihi ni ukomo wa sheria ili kuwe na haki kwa kila mtu aaminiye.

Tazama sura Nakili




Waroma 10:4
18 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.


Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa, neema na kweli zilikuwa kwa mkono wa Yesu Kristo.


ni haki ya Mungu, ipatwayo kwa kuwa na imani kwa Yesu Kristo, huja kwa watu wote, huwakalia watu wote waaminio.


Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyekuwa kwenu hekima itokayo kwa Mungu na haki na utakatifu na ukombozi;


Na hivyo sharia imekuwa mwalimu wa kutuleta kwa Kristo, illi tufanyiziwe wema kwa imani.


illi awakomboe waliokuwa chini ya sharia, tupate kupokea hali ya wana.


Na ninyi mmetimilika katika yeye aliye kichwa cha enzi vote na mamlaka.


mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.


Maana kwa toleo moja amewakamilisha hatta milele wanaotakaswa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo