Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waroma 10:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Na Isaya ana ujasiri mwingi, anasema, Nalipatikana nao wasionitafuta, Nalidhihirika kwao wasioniulizia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Tena Isaya anathubutu hata kusema: “Wale ambao hawakunitafuta wamenipata; nimejionesha kwao wasiouliza habari zangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Tena Isaya anathubutu hata kusema: “Wale ambao hawakunitafuta wamenipata; nimejionesha kwao wasiouliza habari zangu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Tena Isaya anathubutu hata kusema: “Wale ambao hawakunitafuta wamenipata; nimejionesha kwao wasiouliza habari zangu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Naye Isaya kwa ujasiri mwingi anasema, “Nimeonekana na watu wale ambao hawakunitafuta. Nilijifunua kwa watu wale ambao hawakunitafuta.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Naye Isaya kwa ujasiri mwingi anasema, “Nimeonekana na watu wale ambao hawakunitafuta. Nilijifunua kwa watu wale ambao hawakunitafuta.”

Tazama sura Nakili

Waroma 10:20
14 Marejeleo ya Msalaba  

Vivyo hivyo wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza wa mwisho: maana waitwao wengi, hali wateule wachache.

Yule Bwana akamwambia mtumishi wake, Kaenda barabarani na mipakani, ukawashurutishe waingie illi nyumba yangu ipate kujaa.

Kwa maana, wakiwa hawajui haki ya Mungu, na wakitaka kuithubutisha haki yao wenyewe, hawakujitia chini ya haki ya Mungu.

Tuseme nini, bassi? Ya kwamba watu wa mataifa, wasioifuata haki, walipata haki; yaani ile haki iliyo ya imani;

bali Israeli wakiifuata sharia ya haki hawakuifikilia ile sharia.

Sisi twapenda kwa maana yeye kwanza alitupenda sisi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo