Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 10:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Kwa maana andiko lanena, Killa amwaminiye hatatahayarika.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Maandiko Matakatifu yasema: “Kila anayemwamini hataaibishwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Maandiko Matakatifu yasema: “Kila anayemwamini hataaibishwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Maandiko Matakatifu yasema: “Kila anayemwamini hataaibishwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kama Maandiko yanavyosema, “Yeyote amwaminiye hataaibika kamwe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kama yasemavyo Maandiko, “Yeyote amwaminiye hataaibika kamwe.”

Tazama sura Nakili




Waroma 10:11
6 Marejeleo ya Msalaba  

kwa maana kwa moyo watu huamini hatta kupata haki, na kwa kinywa hukiri hatta kupata wokofu.


kama ilivyoandikwa, Tazama, Naweka katika Sayuni jiwe likwaazalo, na mwamba uangushao: Na killa amwaminiye hataaibishwa.


Kwa kuwa ndiyo yaliyomo katika maandiko, Tazama, naweka katika Sayuni jiwe kuu la pembeni, teule, lenye thamani, Na killa amwaminiye hatatabayarika.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo