Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waroma 1:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Ingawa walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Ingawa walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga

Tazama sura Nakili




Waroma 1:22
11 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini jicho lako likiwa ovu, mwili wako wote utakuwa na giza. Bassi ile nuru iliyomo ndani yako ikiwa giza, giza gani hilo!


Kwa maana sitaki ndugu msiijue siri hii, ms jione kuwa wenye akili, ya kwamba kwa sehemu ugumu umewapata Israeli, mpaka ntimilifu wa mataifa uwasili;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo