Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Wakolosai 4:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Tukiko, ndugu mpendwa, mtumishi mwaminifu, mjoli wangu katika Bwana, atawaarifu mambo yangu yote;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Ndugu yetu mpenzi Tukiko, mfanyakazi mwaminifu na mtumishi mwenzetu katika kazi ya Bwana, atawapeni habari zangu zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Ndugu yetu mpenzi Tukiko, mfanyakazi mwaminifu na mtumishi mwenzetu katika kazi ya Bwana, atawapeni habari zangu zote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Ndugu yetu mpenzi Tukiko, mfanyakazi mwaminifu na mtumishi mwenzetu katika kazi ya Bwana, atawapeni habari zangu zote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Tikiko atawaambia habari zangu zote. Yeye ni ndugu mpendwa, mtendakazi mwaminifu na mtumishi mwenzangu katika Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Tikiko atawaambia habari zangu zote. Yeye ni ndugu mpendwa, mtendakazi mwaminifu na mtumishi mwenzangu katika Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Wakolosai 4:7
9 Marejeleo ya Msalaba  

Watu hawa wakafuataua nae mpaka Asia, Sopater Mberoya, na Aristarko na Sekundo, watu wa Thessalonika, na Gayo mtu wa Derbe, na Tukiko na Trofumo watu wa Asia.

Lakini naliona imenilazimu kumtuma Epafrodito, ndugu yangu, mtendaji wa kazi pamoja nami, askari pamoja nami; tena ni mtume wenu na mkhudumu wa muhitaji yangu.

kama mlivyofundishwa na Epafra mjoli wetu mpenzi, aliye mkhudumu amini wa Kristo kwa ajili yenu;

Epafra, aliye mtu wa kwenu, mtumwa wa Yesu Kristo, awasalimu, akifanya bidii siku zote kwa ajili yenu, katika maombi yake msimame wakamilifu mkathuhutike sana katika mapenzi yote ya Mungu.

pamoja ua Onesimo, ndugu mwaminifu, mpendwa, aliye mtu wa kwenu; watawaarifuni mambo yote ya huku.

Lakini Tukiko nalimpeleka Efeso.

Nitakapomtuma Artema kwako an Tukiko, jitahidi kuja kwangu hatta Nikopoli; maana huku nimekusudia kukaa wakati wa baridi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo