Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 4:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 illi niidhihirishe, kama inipasavyo kunena.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Basi, ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Basi, ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Basi, ombeni ili niweze kusema kama inavyonipasa na kwa namna itakayodhihirisha siri hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Ombeni ili nipate kuitangaza hiyo siri kwa udhahiri kama inipasavyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Ombeni ili nipate kuitangaza Injili kwa udhahiri kama ipasavyo kunena.

Tazama sura Nakili




Wakolosai 4:4
10 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi sasa, Bwana, yaangalie maogofya yao; ukawajalie watumishi wako kunena neno lako kwa uthabiti,


Petro na mitume wakajibu, wakaaena, Imetupasa kumtii Mungu kuliko wana Adamu.


Bassi, kwa kuwa tuna taraja la namna hii, twatumia ujasiri mwingi;


kwayo ni mjumbe kifungoni; nipate ujasiri katika kunena jinsi nipaswavyo kusema.


Enendeni kwa hekima mbele vao walio nje, mkiukomboa wakati.


Maneno yenu yawe na neema siku zote, yakikolea chumvi, mpate kujua jinsi iwapasa vyo kumjibu killa mtu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo