Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 4:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Salamu yangu mimi Paolo, kwa mkono wangu mwenyewe. Yakumbukeni mafungo yangu. Neema na iwe pamoja nanyi. Amin.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Naandika haya kwa mkono wangu mwenyewe: Salamu kutoka kwangu, mimi Paulo. Kumbukeni kwamba niko kifungoni. Neema ya Mungu iwe nanyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Naandika haya kwa mkono wangu mwenyewe: Salamu kutoka kwangu, mimi Paulo. Kumbukeni kwamba niko kifungoni. Neema ya Mungu iwe nanyi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Naandika haya kwa mkono wangu mwenyewe: Salamu kutoka kwangu, mimi Paulo. Kumbukeni kwamba niko kifungoni. Neema ya Mungu iwe nanyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Mimi Paulo naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Kumbukeni minyororo yangu. Neema iwe nanyi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Mimi, Paulo, naandika salamu hizi kwa mkono wangu mwenyewe. Kumbukeni minyororo yangu. Neema iwe nanyi. Amen.

Tazama sura Nakili




Wakolosai 4:18
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu wa amani atamseta Shetani chini ya miguu yenu kwa upesi. Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi.


Mimi Tertio, niliyeandika waraka huu, nawasalimu katika Bwana.


Gayo, mwenyeji wangu na wa Kanisa lote pia awasalimu. Erasto, wakili wa mji awasalimu, na Kwarto, ndugu yetu.


Hii ni salamu yangu mimi Paolo kwa nikono wangu mwenyewe.


Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amin.


kama ilivyo wajib wangu kufikiri haya juu yenu nyote; kwa sababu ninyi mmo moyoni mwangu; kwa kuwa katika kufungwa kwangu na katika kazi ya kuitetea Injili na kuithubutisha, ninyi nyote mmeshirikiana nami neema hii.


mkituombea na sisi pia, Mungu atufungulie mlango kwa Neno lake tuinene siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake nimefungwa,


Salamu zangu mimi Paolo, kwa mkono wangu mwenyewe. Hii ndiyo alama katika killa waraka, ndivyo niandikavyo.


wengine wakiikiri hiyo wameikosa Imani. Neema na iwe pamoja nawe.


Bassi usiutahayarikie ushuhuda wa Bwana wetu, wala mimi mtumwa wake, bali uvumilie mabaya pamoja na Injili kwa kadiri ya nguvu ya Mungu;


Bwana Yesu Kristo awe pamoja na roho yako. Neema na iwe nanyi. Amin.


Watu wote walio pamoja nami wakusalimu. Tusalimie wale watupendao katika Imani. Neema na iwe nanyi nyote. Amin.


Neema na iwe nanyi nyote. Amin.


Wakumbukeni waliofungwa kana kwamba mmefungwa pamoja nao; nao wanaodhulumiwa, kwa kuwa nanyi m katika mwili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo