Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 4:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Waraka hun ukiisha kusomwa kwenu, fanyeni kwamba usomwe katika kanisa la Walaodikia; na ule wa Laodikia usomwe na ninyi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Mkisha soma barua hii, hakikisheni kwamba inasomwa na Wakristo wa Laodikea; na nyinyi fanyeni mpango mpate kuisoma barua waliyoipata wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Mkisha soma barua hii, hakikisheni kwamba inasomwa na Wakristo wa Laodikea; na nyinyi fanyeni mpango mpate kuisoma barua waliyoipata wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Mkisha soma barua hii, hakikisheni kwamba inasomwa na Wakristo wa Laodikea; na nyinyi fanyeni mpango mpate kuisoma barua waliyoipata wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Baada ya barua hii kusomwa kwenu, hakikisheni kwamba inasomwa pia katika kundi la waumini wa Walaodikia. Nanyi pia msome barua inayotoka Laodikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Baada ya barua hii kusomwa kwenu, hakikisheni kwamba inasomwa pia katika kundi la waumini la Walaodikia. Nanyi pia msome barua inayotoka Laodikia.

Tazama sura Nakili




Wakolosai 4:16
6 Marejeleo ya Msalaba  

MAANA nataka muijue juhudi niliyo nayo kwa ajili yenu, na kwa ajili ya wale wa Laodikia, na wale wasioniona uso wangu katika mwili, jinsi ilivyo kuu;


Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili yao walio katika Laodikia, na kwa ajili yao walio katika Hieropoli.


Wasalimuni ndugu walio katika Laodikia, na Numfa, na kanisa lililo katika nyumba yake.


Nawaapisha kwa Bwana, wasomewe ndugu wote waraka huu.


Na ikiwa mtu aliye yote halishiki neno letu la waraka huu, jihadharini na mtu huyo, wala msizumgumze nae, apate kutahayarika;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo