Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 4:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Wasalimuni ndugu walio katika Laodikia, na Numfa, na kanisa lililo katika nyumba yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Salamu zetu kwa ndugu wa Laodikea. Msalimuni dada Nimfa pamoja na jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Salamu zetu kwa ndugu wa Laodikea. Msalimuni dada Nimfa pamoja na jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Salamu zetu kwa ndugu wa Laodikea. Msalimuni dada Nimfa pamoja na jumuiya yote ya waumini inayokutana nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Wasalimuni ndugu wote wa Laodikia, na pia Nimfa, pamoja na kundi la waumini wanaokutana katika nyumba yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Wasalimuni ndugu wote wa Laodikia, na pia Nimfa, pamoja na kundi la waumini linalokutana katika nyumba yake.

Tazama sura Nakili




Wakolosai 4:15
6 Marejeleo ya Msalaba  

nisalimieni kanisa lililomo katika nyumba yao. Nisalimieni Epaineto, mpenzi wangu, aliye malimbuko ya Asia kwa Kristo.


kwa maana nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wengi wako wanipingao.


MAANA nataka muijue juhudi niliyo nayo kwa ajili yenu, na kwa ajili ya wale wa Laodikia, na wale wasioniona uso wangu katika mwili, jinsi ilivyo kuu;


Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili yao walio katika Laodikia, na kwa ajili yao walio katika Hieropoli.


Waraka hun ukiisha kusomwa kwenu, fanyeni kwamba usomwe katika kanisa la Walaodikia; na ule wa Laodikia usomwe na ninyi.


na kwa Appia, ndugu yetu mpendwa, na kwa Arkippo askari mwenzetu, na kwa kanisa lililo katika nyumba yako;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo