Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Wakolosai 4:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Maana namshuhudia kwamba ana juhudi nyingi kwa ajili yenu, na kwa ajili yao walio katika Laodikia, na kwa ajili yao walio katika Hieropoli.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Naweza kushuhudia kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu na kwa ajili ya watu wa Laodikea na Hierapoli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Naweza kushuhudia kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu na kwa ajili ya watu wa Laodikea na Hierapoli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Naweza kushuhudia kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu na kwa ajili ya watu wa Laodikea na Hierapoli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Ninashuhudia kumhusu kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, na kwa ajili ya ndugu wa Laodikia na wale wa Hierapoli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Ninashuhudia kumhusu kwamba anafanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, na kwa ajili ya ndugu wa Laodikia na wale wa Hierapoli.

Tazama sura Nakili

Wakolosai 4:13
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana nawashuhudia kwamba wana wivu kwa ajili ya Mungu, lakini hauna msingi wa maarifa.

Maana nawashuhudia, kwa uwezo wao, na zaidi ya uwezo wao,

MAANA nataka muijue juhudi niliyo nayo kwa ajili yenu, na kwa ajili ya wale wa Laodikia, na wale wasioniona uso wangu katika mwili, jinsi ilivyo kuu;

ikinena, Mimi ni Alfa na Omega, wa kwanza na wa mwisho. Haya uonayo yaandike katika chuo, ukayapeleke kwa makanisa saba yaliyo katika Asia; Efeso, na Smurna, na Pergamo, na Thuatera, na Sardi, na Filadelfia, na Laodikia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo