Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 3:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, msiwe na uchungu nao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe wakali kwao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, wala msiwe na uchungu dhidi yao.

Tazama sura Nakili




Wakolosai 3:19
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu akija kwangu, nae hamehukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wanaume na wanawake, na uzima wake pia, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.


Vinywa vyao vimejaa laana na uchungu.


Uchungu wote na hasira na ghadhabu na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na killa ubaya;


Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake,


Illakini killa mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; na mke asikose kumstahi mumewe.


Ninyi haha, msiwachokoze watoto wenu, wasije wakakata tamaa.


Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na magomvi mioyoni mwenu msijisifu, wala msiseme nwongo juu ya kweli.


Ninyi wanme kadhalika, kaeni na wake zenu kwa akili; mkimpa mke heshima, kama chombo kisieho nguvu, na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi sala zenu zisizuiliwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo