Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 2:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 (Mambo hayo yote huharibika wakati wa kutumiwa), mkifuata maagizo na mafundislio ya wana Adamu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Mambo hayo yote yanahusika na vitu vyenye kuharibika mara tu vinapotumiwa; hayo ni maagizo na mafundisho ya kibinadamu tu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Mambo hayo yote yanahusika na vitu vyenye kuharibika mara tu vinapotumiwa; hayo ni maagizo na mafundisho ya kibinadamu tu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Mambo hayo yote yanahusika na vitu vyenye kuharibika mara tu vinapotumiwa; hayo ni maagizo na mafundisho ya kibinadamu tu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Amri hizi zote mwisho wake ni kuharibika zinapotumiwa, kwa sababu msingi wake ni katika maagizo na mafundisho ya wanadamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Haya yote mwisho wake ni kuharibika yanapotumiwa, kwa sababu msingi wake ni katika maagizo na mafundisho ya wanadamu.

Tazama sura Nakili




Wakolosai 2:22
12 Marejeleo ya Msalaba  

Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hatta uzima wa milele, Mwana wa Adamu atakachowapeni: maana huyu ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani, Mungu.


Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu ataharibu vyote viwili, tumbo na vyakula. Na mwili si kwa zina, hali ni kwa Bwana, nae Bwana ni kwa mwili.


Msishike, msionje, msiguse;


wasisikilize hadithi za Kiyahudi, na maagizo ya wana Adamn wajiepushao na kweli.


Lakini hawo kama nyama wasio na akili, kwa asili yao watu wa kukamatwa kama nyama na kupotezwa, wakikufuru katika mambo wasiyoyajua, wataangamizwa katika maangamizo yao;


Na yule mwanamke uliyemwona, ndiye mji ule mkubwa, mwenye ufalme juu ya wafalme wa inchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo