Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 2:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mambo ya aina hiyo ni kivuli tu cha yale yatakayokuja; ukweli wenyewe ndiye Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Hizi zilikuwa kivuli cha mambo yajayo; lakini uhalisi unapatikana kwa Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Hizi zilikuwa kivuli cha mambo ambayo yangekuja, lakini ile iliyo halisi imo ndani ya Al-Masihi.

Tazama sura Nakili




Wakolosai 2:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa, neema na kweli zilikuwa kwa mkono wa Yesu Kristo.


BASSI kwa kuwa torati ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo, kwa dhahihu zile zile wanazozitoa killa mwaka daima, hawawezi wakati wo wote kuwakamilisha wakaribiao.


watumikao kwa mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile khema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima.


Hii ndiyo mfano wa wakati huu uliopo sasa; wakati huo sadaka na dhahihu zinatolewa, zisizoweza kumkamilisha mtu aabunduye dhamiri yake,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo