Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 1:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Na ninyi, mliokuwa hapo kwanza mmefarikishwa, ua adui katika nia zenu, kwa matendo yemi mabaya, amewapatanisha sasa,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Hapo kwanza nyinyi pia mlikuwa mbali na Mungu na mlikuwa maadui zake kwa sababu ya fikira zenu na matendo yenu maovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Hapo kwanza nyinyi pia mlikuwa mbali na Mungu na mlikuwa maadui zake kwa sababu ya fikira zenu na matendo yenu maovu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Hapo kwanza nyinyi pia mlikuwa mbali na Mungu na mlikuwa maadui zake kwa sababu ya fikira zenu na matendo yenu maovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Hapo kwanza mlikuwa mmetengana na Mungu, na mlikuwa adui zake katika nia zenu kwa sababu ya mienendo yenu mibaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Hapo kwanza mlikuwa mmetengana na Mwenyezi Mungu, na mlikuwa adui zake katika nia zenu kwa sababu ya mienendo yenu mibaya.

Tazama sura Nakili




Wakolosai 1:21
14 Marejeleo ya Msalaba  

watu wti nia mbaya, wenye kusengenya, wenye kusingizia, wenye kumchukia Mungu, wenye jeuri, wenye kutakahari, wenye majivuno, wenye kutunga mabaya, wasiowatii wazazi wao,


kwamba zamani zile mlikuwa hamna Kristo, mmefarakana na jamii ya Israeli, wageni, wasio wa maagano ya ahadi; mlikuwa hamna tumaini, hamna Mungu duniani.


akiisha kuuondoa kwa mwili wake ule uadui, ndio sharia ya amri zilizo katika maagizo; illi afanye wawili kuwa mtu mpya mmoja ndani ya nafsi yake, akifanya amani;


Bassi tangu sasa ninyi si wapitaji wala wageni, bali ninyi ni wenyeji pamoja na watakatifu, watu wa nyumba ya Mungu,


akili zao zimetiwa giza, wamekaa mbali na uzima wa Mungu, kwa sababu ya ujinga uliomo niwao, kwa sababu mioyo yao imekufa ganzi:


Enyi wazinzi, wanaume na wanawake, hamjui ya kuwa rafiki wa dunia ni kuwa adui wa Mungu? bassi killa atakae kuwa rafiki wa dunia ajifanya kuwa adui wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo