Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wakolosai 1:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Kwa kuwa katika yeye ilipendeza utimilifu wote ukae,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Maana Mungu alipenda utimilifu wake wote uwe ndani yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Maana Mungu alipenda utimilifu wake wote uwe ndani yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Maana Mungu alipenda utimilifu wake wote uwe ndani yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kwa kuwa ilimpendeza Mungu kwamba utimilifu wake wote ukae ndani yake,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kwa kuwa ilimpendeza Mwenyezi Mungu kwamba utimilifu wake wote ukae ndani yake,

Tazama sura Nakili




Wakolosai 1:19
12 Marejeleo ya Msalaba  

Saa ileile Yesu akashangilia katika Roho, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na inchi, kwa kuwa umewaficha wenye hekima na busara mambo haya, ukawafunulia watoto wachanga: Naam, Baba, kwa maana ndivyo vilivyokuwa vinapendeza mbele yako.


Na katika ujazi wake sisi sote tulipokea, na neema juu ya neema.


Kwa kuwa yeye aliyetumwa na Mungu huyanena maneno ya Mungu: kwa sababu Mungu hampi Roho kwa kupima.


Kwa maana katika hekima ya Mungu, dunia isipopata kumjua Mungu kwa hekima yake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa upumbavu wa lile neno linalokhubiriwa.


lililo mwili wake, ukamilifu wake akamilishae vitu vyote katika vyote.


Atukuzwe Mungu, Baba yake Bwana wetu Yesu Kristo, aliyetubariki kwa baraka zote za rohoni, katika ulimwengu wa roho, ndani ya Kristo;


Kwa kuwa ametuchagua tangu zamani illi tufanywe waua wake yeye kwa njia ya Yesu Kristo, kwa mapenzi ya nia yake,


Aliyeshuka ndiye aliyepanda juu sana kupita mbingu zote, vitu vyote vijae nae.)


ambae ndani yake zimo hazina zote za hekima na maarifa, zimesetirika.


Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa namna ya kimwili.


Hapo hapana Myunani wala Myahudi, kutahiriwa wala kutokutahiriwa, mshenzi wala Mskuthi, mtumwa wala mungwana, bali Kristo ni yote, na katika wote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo