Wagalatia 3:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 Je! m wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa kwa mwili? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Je, nyinyi ni wajinga kiasi hicho? Nyinyi mlianza yote kwa msaada wa Roho, je, mnataka sasa kumaliza kwa nguvu zenu wenyewe? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Je, nyinyi ni wajinga kiasi hicho? Nyinyi mlianza yote kwa msaada wa Roho, je, mnataka sasa kumaliza kwa nguvu zenu wenyewe? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Je, nyinyi ni wajinga kiasi hicho? Nyinyi mlianza yote kwa msaada wa Roho, je, mnataka sasa kumaliza kwa nguvu zenu wenyewe? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Je, ninyi ni wajinga kiasi hicho? Baada ya kuanza kwa Roho, je, sasa mwataka kumalizia katika mwili? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Je, ninyi ni wajinga kiasi hicho? Baada ya kuanza kwa Roho, je, sasa mwataka kumalizia katika mwili? Tazama sura |