Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wagalatia 1:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 na ndugu wote walio pamoja nami, kwa makanisa ya Galatia,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 na ndugu wote walio pamoja nami tunayasalimu makanisa ya Galatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 na ndugu wote walio pamoja nami tunayasalimu makanisa ya Galatia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 na ndugu wote walio pamoja nami tunayasalimu makanisa ya Galatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 na ndugu wote walio pamoja nami. Kwa makundi ya waumini wa Galatia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 na ndugu wote walio pamoja nami: Kwa makundi ya waumini ya Galatia:

Tazama sura Nakili




Wagalatia 1:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akapita katika Shami na Kilikia akawatia moyo makanisa.


Hatta akiisha kukaa huko siku kadha wa kadha akaondoka, akapita kati ya inchi ya Galatia na Frugia, mji kwa mji, akiwatia moyo wanafunzi.


Bassi makanisa wakapata raha katika Yahudi yote na Galilaya na Samaria, wakajengewa, wakiendelea katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.


KWA khabari ya ile changizo kwa ajili ya watakatifu, kama vile nilivyoamuru makanisaya Galatia, na ninyi fanyeni vivyo hivyo.


ENYI Wagalatia msio akili, ni nani aliyewaloga, msiisadiki kweli, ninyi ambao Kristo aliwekwa mbele ya macho yemi ya kuwa amesulibiwa?


Maana mwajua ya kuwa ametumika pamoja nami kwa ajili ya Injili, kama mwana na baba yake.


Mnisalimie killa mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walio pamoja nami wawasalimu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo