Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wafilipi 4:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Furahini katika Bwana siku zote; marra ya pili nasema, Furahini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Basi, furahini daima katika kuungana na Bwana! Nasema tena: Furahini!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Basi, furahini daima katika kuungana na Bwana! Nasema tena: Furahini!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Basi, furahini daima katika kuungana na Bwana! Nasema tena: furahini!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Furahini katika Bwana Isa siku zote, tena nasema furahini!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Furahini katika Bwana Isa siku zote, tena nasema furahini!

Tazama sura Nakili




Wafilipi 4:4
18 Marejeleo ya Msalaba  

Furahini, shangilieni: kwakuwa thawabu yenu nyingi mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowatesa manabii waliokuwa kabla yenu.


Lakini panapo usiku wa manane Paolo na Sila walikuwa wakimwomba Mungu na kumwimbia nyimbo za kumsifu, na wafungwa wengine walikuwa wakisikiliza.


Nao wakatoka katika ile baraza, wakifurahi kwa sababu wamehesabiwa kuwa wamestahili kuaibishwa kwa ajili ya jina lake.


kwa tumaini, mkifurahi; katika shidda, mkivumilia; katika kusali, mkidumu;


kama wenye huzuni, bali siku zote wenye furaha; kama maskini, bali tukitajirisha wengi; kama wasio na kitu, bali wenye vitu vyote.


Lakini sisi au malaika wa mbinguni tukiwakhubiri ninyi injili illa hiyo tuliyowakhubiri, na alaaniwe.


Nanyi vivyo hivyo furahini, tena furahini pamoja nami.


KHATIMAE, ndugu zangu, furahini katika Bwana. Kuwaandikieni yale yale hakuniudhi mimi, bali kutawafaa niuyi.


lakini kama mnavyoyashiriki mateso va Kristo furahini; illi na katika ufimuo wa utukufu wake mfurahi kwa shangwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo