Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Wafilipi 4:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Nalifurahi sana katika Bwana, kwa kuwa sasa mwisho mmehuisha fikara zenu kwa ajili yangu, kama vile mlivyokuwa mkinifikiri hali yangu; lakini hamkupata nafasi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Katika kuungana na Bwana nimepata furaha kubwa kwamba mwishoni mlipata tena fursa ya kuonesha kwamba mnanikumbuka. Kusema kweli mmekuwa mkinikumbuka daima ila tu hamkupata nafasi ya kuonesha jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Katika kuungana na Bwana nimepata furaha kubwa kwamba mwishoni mlipata tena fursa ya kuonesha kwamba mnanikumbuka. Kusema kweli mmekuwa mkinikumbuka daima ila tu hamkupata nafasi ya kuonesha jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Katika kuungana na Bwana nimepata furaha kubwa kwamba mwishoni mlipata tena fursa ya kuonesha kwamba mnanikumbuka. Kusema kweli mmekuwa mkinikumbuka daima ila tu hamkupata nafasi ya kuonesha jambo hilo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Nina furaha kubwa katika Bwana Isa kwamba hatimaye mmeanza upya kushughulika tena na maisha yangu. Kweli mmekuwa mkinifikiria lakini mlikuwa hamjapata nafasi ya kufanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Nina furaha kubwa katika Bwana Isa kwamba hatimaye mmeanza upya kushughulika tena na maisha yangu. Kweli mmekuwa mkinifikiria lakini mlikuwa hamjapata nafasi ya kufanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Wafilipi 4:10
11 Marejeleo ya Msalaba  

Nami nilipokuwa pamoja nanyi na kuhitaji sikumlemea mtu. Maana ndugu walipokuja kutoka Makedonia walinipa kadiri ya mahitaji yangu; na katika mambo yote nalijilinda nafsi yangu nisiwalemee hatta kidogo; tena nitajilinda.

katika neno la kweli, katika nguvu ya Mungu; kwa silaha za wema za mkono wa kuume na za mkono wa kushoto,

Tuwapo na nafasi na tuwatendee watu wote mema; khassa watu walio wa nyumba ya imani.

Mwanafunzi na amshirikishe mkufunzi wake katika mema yote.

PAOLO na Timotheo, watumwa wa Yesu Kristo, kwa watakatifu wote katika Kristo Yesu, walio katika Filipi, pamoja na maaskofu na wakhudumu;

Namshukuru Mungu wangu killa niwakumbukapo,

Maana kwa ajili ya kazi ya Kristo alikaribia kufa, asiutunze uhayi wake; illi kusudi ayatimize yaliyopungua katika khuduma yenu kwangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo