Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Wafilipi 3:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, naliyaona kuwa khasara kwa ajili ya Kristo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Lakini hayo yote ambayo ningeweza kuyafikiria kuwa ni faida, nimeyaona kuwa ni hasara, kwa ajili ya Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Lakini hayo yote ambayo ningeweza kuyafikiria kuwa ni faida, nimeyaona kuwa ni hasara, kwa ajili ya Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Lakini hayo yote ambayo ningeweza kuyafikiria kuwa ni faida, nimeyaona kuwa ni hasara, kwa ajili ya Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, sasa nayahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Lakini mambo yale yaliyokuwa faida kwangu, sasa nayahesabu kuwa hasara kwa ajili ya Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Wafilipi 3:7
20 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana atafaidiwa mtu nini akiupata ulimwengu wote, na kupata khasara ya roho yake? au mtu atatoa nini badala ya roho yake?

Akatupa vazi lake, akaruka, akamwendea Yesu.

Mtu akija kwangu, nae hamehukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wanaume na wanawake, na uzima wake pia, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Bassi, kadhalika killa mmoja wenu asiyeviacha vitu vyote alivyo navyo hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Yule bwana akamsifu wakili asiye haki, kwa kuwa alitenda kwa busara: kwa maana wana wa zamani hizi wana busara kuliko wana wa nuru, katika kizazi chao wenyewe.

Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena va merikebu, wakaitupa nganu baharini.

akihesabu ya kuwa kushutumiwa kwake Kristo ni utajiri mwingi kuliko hazina za Misri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo