Wafilipi 3:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19213 Maana sisi tu tohara, tumwabuduo Muugu kwa Roho, na kujisifu katika Kristo Yesu, wala hatuutumainii mwili. Walakini mimi ningeweza kuutumainia mwili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Watu waliotahiriwa kikweli ni sisi, si wao; kwani sisi twamwabudu Mungu kwa njia ya Roho wake, na kuona fahari katika kuungana na Kristo Yesu. Mambo ya nje tu hatuyathamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Watu waliotahiriwa kikweli ni sisi, si wao; kwani sisi twamwabudu Mungu kwa njia ya Roho wake, na kuona fahari katika kuungana na Kristo Yesu. Mambo ya nje tu hatuyathamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Watu waliotahiriwa kikweli ni sisi, si wao; kwani sisi twamwabudu Mungu kwa njia ya Roho wake, na kuona fahari katika kuungana na Kristo Yesu. Mambo ya nje tu hatuyathamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kwa maana sisi ndio tulio tohara, sisi tumwabuduo Mungu katika Roho wake Mtakatifu, tunaona fahari katika Al-Masihi Isa, ambao hatuweki tumaini letu katika mwili, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kwa maana sisi ndio tulio tohara, sisi tumwabuduo Mwenyezi Mungu katika Roho, tunaona fahari katika Al-Masihi Isa, ambao hatuweki tumaini letu katika mwili, Tazama sura |