Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wafilipi 3:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Mwe wafuasi wangu, ndugu, mkawatazame wao waendao kwa kuufuata mfano tuliokupeni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Ndugu zangu, fuateni mfano wangu. Tumewapeni mfano mwema, na hivyo wasikilizeni wale wanaofuata mfano huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Ndugu zangu, fuateni mfano wangu. Tumewapeni mfano mwema, na hivyo wasikilizeni wale wanaofuata mfano huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Ndugu zangu, fuateni mfano wangu. Tumewapeni mfano mwema, na hivyo wasikilizeni wale wanaofuata mfano huo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Ndugu zangu, kwa pamoja fuateni mfano wangu na kuwatazama wale wanaofuata kielelezo tulichowawekea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Ndugu zangu, kwa pamoja fuateni mfano wangu na kuwatazama wale wanaofuata kielelezo tulichowawekea.

Tazama sura Nakili




Wafilipi 3:17
15 Marejeleo ya Msalaba  

Nawasihini, ndugu, waangalieni wale wafanyao fitina na mambo ya kukwaza kinyume cha mafundisho mliyojifunza; mkajiepushe nao.


Msiwakoseshe Wayahudi wala Wayunaui wala Kanisa la Mungu:


MWE wafuasi wangu kama mimi nilivyo mfuasi wa Kristo.


Bassi, nawasihini, mwe wafuasi wangu.


Mambo mliyojifunza kwangu na kuyapokea, na kuyasikia, na kuyaona kwangu, yatendeni haya; na Mungu wa amani atakuwa pamoja nanyi.


Mkawa wafuasi wetu na wa Bwana, mkiisha kulipokea Neno katika mateso mengi pamoja na furaha ya Roho Mtakatifu,


Na ikiwa mtu aliye yote halishiki neno letu la waraka huu, jihadharini na mtu huyo, wala msizumgumze nae, apate kutahayarika;


Mwajua wenyewe jinsi iwapasavyo kutufuata, kwa sababu hatukwenda bila utaratibu kwenu;


si kwamba hatuna uwezo, bali tufanye nafsi zetu kuwa mfano kwenu, mtufuate.


Mtu asiudharau ujana wako, bali uwe mfano kwao waaminio, katika usemi, na katika mwenendo, na katika upendo, na katika imani, na katika utakatifu.


Wakumbukeni wale waliokuwa na mamlaka juu yenu, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa maisha zao, iigeni imani yao.


wala si kama wajifanyao mabwana juu ya mitaa yao, bali kwa kujifanya mfano kwa lile kundi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo