Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wafilipi 3:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Illakini, hapo tulipofika na tuenende kwa kanuni ile ile.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Kwa vyovyote, tusonge mbele katika njia hiyohiyo ambayo tumeifuata mpaka hivi sasa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Kwa vyovyote, tusonge mbele katika njia hiyohiyo ambayo tumeifuata mpaka hivi sasa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Kwa vyovyote, tusonge mbele katika njia hiyohiyo ambayo tumeifuata mpaka hivi sasa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Lakini na tushike sana lile ambalo tumekwisha kulifikia.

Tazama sura Nakili




Wafilipi 3:16
14 Marejeleo ya Msalaba  

Mwe na nia moja ninyi kwa ninyi. Msinie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge. Msiwe watu wa kujivunia akili.


Na Mungu mwenye uvumilivu na faraja awajalieni kunia mamoja ninyi kwa ninyi, kwa namna ya Yesu Kristo;


Mlikuwa mkipiga mbio vizuri: ni nani aliyewazuia msiitii kweli?


Na wote watakaoiendea kanuni hii, amani kwao na rehema, naam, kwa Israeli wa Mungu.


Lakini mwenendo wenu uwe kama inavyoipasa Injili ya Kristo, illi, nikija na kuwaona ninyi, au nisipokuwapo, niyasikie mambo yenu, kama mnasimama imara katika roho moja, kwa moyo mmoja mkiishindania imani ya Injili;


ijalizeni furaha yangu, illi mwe na nia moja, wenye mapenzi mamoja, wenye roho moja, mkinia mamoja.


Namsihi Euodia, namsibi na Suntoke, wawe na nia moja katika Bwana.


Bassi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, enendeni vivyo hivyo katika yeye,


Dumuni sana katika kuomba, mkikesha katika kuomba huku na shukrani,


Bassi kumbuka jinsi ulivyopokea, na jinsi ulivyosikia; yashike hayo na kutubu. Illakini usipokesha nitakuja kwako kama mwizi, nawe hutaijua saa nitakayokuja kwako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo