Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wafilipi 2:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Kwa maanu alikuwa hawezi kweli kweli, karibu na kufa; lakini Mungu alimhurumia; wala si yeye peke yake, illa na mimi pia: nisiwe na huzuni juu ya huzuni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Naam, alikuwa mgonjwa hata karibu ya kufa. Lakini Mungu alimwonea huruma, na si yeye peke yake, ila na mimi pia ili nisipate uchungu zaidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Naam, alikuwa mgonjwa hata karibu ya kufa. Lakini Mungu alimwonea huruma, na si yeye peke yake, ila na mimi pia ili nisipate uchungu zaidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Naam, alikuwa mgonjwa hata karibu ya kufa. Lakini Mungu alimwonea huruma, na si yeye peke yake, ila na mimi pia ili nisipate uchungu zaidi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Kweli alikuwa mgonjwa, tena karibu ya kufa. Lakini Mungu alimhurumia, wala si yeye tu, bali hata na mimi alinihurumia, nisipatwe na huzuni juu ya huzuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kweli alikuwa mgonjwa, tena karibu ya kufa. Lakini Mwenyezi Mungu alimhurumia, wala si yeye tu, bali hata na mimi alinihurumia, nisipatwe na huzuni juu ya huzuni.

Tazama sura Nakili




Wafilipi 2:27
23 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa siku zile akaugua, akafa: hatta walipokwisha kumwosha, wakamweka orofani.


Jaribu halikuwapata ninyi, illa ya kadiri ya kibinadamu; na Mungu yu amini; hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, illi mweze kustahimili.


hatta, kiuyume cha hiyo, ni afadhali mmsamehe na kumfariji, mtu kama huyu asije akatoswa katika huzuni ipitayo kiasi.


Kwa kuwa alikuwa na shanku kwenu ninyi nyote, akahuzunika sana, kwa sababu mlisikia ya kwamba alikuwa hawezi.


Nikafanya hidii uyiugi zaidi kumtuma tena, nami nikapunguziwe huzuni yangu.


Maana kwa ajili ya kazi ya Kristo alikaribia kufa, asiutunze uhayi wake; illi kusudi ayatimize yaliyopungua katika khuduma yenu kwangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo