Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Wafilipi 2:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Maana naamini katika Bwana ya kuwa nitakuja na mimi mwenyewe karibu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Na, ninatumaini katika Bwana kwamba nami pia nitaweza kuja kwenu karibuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Nami mwenyewe ninatumaini katika Bwana Isa kwamba nitakuja kwenu hivi karibuni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Nami mwenyewe ninatumaini katika Bwana Isa kwamba nitakuja kwenu hivi karibuni.

Tazama sura Nakili

Wafilipi 2:24
6 Marejeleo ya Msalaba  

Walakini natmnaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo afike kwemi karibu, nifarijiwe na mimi, nikiijua hali yenu.

Na pamoja na hayo uniwekee tayari mahali pa kukaa: maana nataraja ya kwamba kwa maombi yenu mtajaliwa kunipata.

Kwa kuwa nina maneno mengi ya kuwa-andikia, sitaki kuyaandika kwa karatasi na wino; lakini nataraja kuja kwenu, na kusema nanyi mdo-mo kwa mdomo, illi furaha yenu itimizwe.

Lakini nataraja kukuona karibu na kusema nawe mdomo kwa mdonm.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo