Wafilipi 2:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Bassi, natumaini kumtuma huyu marra nitakapojua yatakayonipata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Kwa hiyo natumaini kumtuma kwenu mara nitakapojua jinsi mambo yatakavyoniendea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kwa hiyo, ninatumaini kumtuma kwenu upesi mara nitakapojua mambo yangu yatakavyokuwa. Tazama sura |