Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wafilipi 2:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Maana wote wanatafuta vyao wenyewe, sivyo vya Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Wengine wanashughulikia tu mambo yao wenyewe badala ya kuyashughulikia mambo ya Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Wengine wanashughulikia tu mambo yao wenyewe badala ya kuyashughulikia mambo ya Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Wengine wanashughulikia tu mambo yao wenyewe badala ya kuyashughulikia mambo ya Yesu Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Kwa maana kila mmoja anajishughulisha zaidi na mambo yake mwenyewe wala si yale ya Isa Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Kwa maana kila mmoja anajishughulisha zaidi na mambo yake mwenyewe wala si yale ya Isa Al-Masihi.

Tazama sura Nakili




Wafilipi 2:21
19 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, Mtu atakae kuandama nyuma yangu, ajikane nafsi yake, ajitwike msalaba wake, anifuate.


Mtu akija kwangu, nae hamehukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wanaume na wanawake, na uzima wake pia, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.


Kiisha Paolo na wenziwe wakangʼoa nanga wakasafiri kutoka Pafo, wakafika Perga katika Pamfulia. Yohana akawaacha akarejea Yerusalemi.


Bali Paolo hakuona vema kumchukua huyo aliyewaacha huko Pamfulia, asiende nao kutenda ile kazi.


Mtu asitafute kujifaidia nafsi yake, bali kumfaidia mwenzake.


vile vile kama mimi niwapendezavyo watu wote katika mambo yote, nisitake faida yangu mwenyewe, bali faida yao walio wengi, wapafe kuokolewa.


haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya;


Kwa kuwa vile vile kama mateso ya Kristo yanavyozidi kwetu, vivyo hivyo faraja yetu inazidi kwa njia ya Kristo.


killa mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, hali killa mtu mamho ya wengine.


Wajua hili, ya kuwa wote walio katika Asia wameniacha, katika hao ni Figello na Hermogene.


Maana watu walakuwa wenye kujipenda nafsi zao, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kufuru, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, wasiowapenda wa kwao,


maana Dema aliniacha, akiupenda ulimwengu wa sasa, akasafiri kwenda Thessaloniki; Kreske Galatia, Tito Daimatia.


Katika jawabu yangu ya kwauza hakuna mtu aliyesimama pamoja nami, bali wote waliniacha; wasihesabiwe khatiya kwa jambo bili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo