Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Wafilipi 2:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Maana sina mtu mwingine mwenye nia moja nami, atakaeangalia hali yenu kweli kweli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Sina mtu mwingine kama yeye ambaye anawashughulikieni kwa moyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Sina mtu mwingine kama yeye ambaye anawashughulikieni kwa moyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Sina mtu mwingine kama yeye ambaye anawashughulikieni kwa moyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Sina mtu mwingine kama yeye, ambaye ataangalia hali yenu kwa halisi.

Tazama sura Nakili




Wafilipi 2:20
16 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu wa mshahara hukimhia kwa kuwa ni mtu wa mshahara, wala hatii moyoni mambo ya kondoo.


Aliyasema haya, si kwa kuwahurumia maskini; hali kwa kuwa ni mwizi, nae ndiye aliyeshika mfuko, akavichikua vilivyotiwa humo.


Na Mungu mwenye uvumilivu na faraja awajalieni kunia mamoja ninyi kwa ninyi, kwa namna ya Yesu Kristo;


Lakini, Timotheo akija, angalieni akae kwenu pasipo khofu; maana anaifanya kazi ya Bwana kama mimi nami:


ijalizeni furaha yangu, illi mwe na nia moja, wenye mapenzi mamoja, wenye roho moja, mkinia mamoja.


Maana mwajua ya kuwa ametumika pamoja nami kwa ajili ya Injili, kama mwana na baba yake.


Na Yesu aitwae Yusto; hao ni watu wa tohara. Tena hao peke yao ni watendaji wa kazi pamoja nami kwa ajili ya ufalme wa Mungu; nao walikuwa faraja kwangu.


kwa Timotheo, mwana wangu khassa katika imani, Neema, na rehema, na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.


Ukiwakumhusha ndugu hayo, utakuwa mkhudumu mwema wa Yesu Kristo, na mzoevu wa maneno ya imani, na ya mafundisho yale mazuri uliyoyafuata.


nikikumbuka imani uliyo nayo isiyo na unafiki, iliyokaa kwanza katika bibi yako Loi, na katika mama yako Euniki; aa ninasadiki ya kwamba na wewe nawe unayo.


Bali wewe umeyafuata mafundisho yangu, na mwenendo wangu, na makusudi yangu, na imani, na upole, na upendo, na uvumilivu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo