Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Wafilipi 2:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Nanyi vivyo hivyo furahini, tena furahini pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Hali kadhalika nanyi mnapaswa kufurahi na kunishirikisha mimi furaha yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Hali kadhalika nanyi mnapaswa kufurahi na kunishirikisha mimi furaha yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Hali kadhalika nanyi mnapaswa kufurahi na kunishirikisha mimi furaha yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Wafilipi 2:18
6 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi naomba, msikate tamaa kwa sababu ya mateso yangu kwa ajili yenu, yaliyo utukufu kwenu.

Naam, hatta nikimiminwa juu ya dhabihu na khuduma ya imani yenu, nafurahi; tena nafurahi pamoja nanyi nyote.

Walakini natmnaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo afike kwemi karibu, nifarijiwe na mimi, nikiijua hali yenu.

KHATIMAE, ndugu zangu, furahini katika Bwana. Kuwaandikieni yale yale hakuniudhi mimi, bali kutawafaa niuyi.

Furahini katika Bwana siku zote; marra ya pili nasema, Furahini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo