Waefeso 6:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 kwa nia njema mkimtumikia Bwana wala si mwana Adamu: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Muwe radhi kutumikia kwa ajili ya Bwana na si kwa ajili ya watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Muwe radhi kutumikia kwa ajili ya Bwana na si kwa ajili ya watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Muwe radhi kutumikia kwa ajili ya Bwana na si kwa ajili ya watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mngemtumikia, wala si wanadamu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Tumikeni kwa moyo wote, kama vile mnamtumikia Bwana Isa na si wanadamu. Tazama sura |