Waefeso 6:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19214 Na ninyi, akina baba, msiwachokoze watoto wemi; bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya Kikristo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya Kikristo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Nanyi akina baba, msiwachukize watoto wenu ila waleeni katika nidhamu na mafundisho ya Kikristo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana Isa. Tazama sura |