Waefeso 6:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192122 ambae nilimpeleka kwenu kwa kusudi hili hili mpate kuyajua mambo yetu, nae akawafariji mioyo yenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Namtuma kwenu awapeni habari zetu mpate kuwa na moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Namtuma kwenu awapeni habari zetu mpate kuwa na moyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Namtuma kwenu awapeni habari zetu mpate kuwa na moyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Ninamtuma kwenu kwa ajili ya kusudi hili hasa, ili mpate kujua hali yetu, na awatie moyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Ninamtuma kwenu kwa ajili ya kusudi hili hasa, ili mpate kujua hali yetu, na awatie moyo. Tazama sura |