Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 6:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Tena ipokeeni chepeo ya wokofu, na upanga wa Roho, ndio neno la Mungu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Upokeeni wokovu kama kofia yenu ya chuma, na neno la Mungu kama upanga mnaopewa na Roho Mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Upokeeni wokovu kama kofia yenu ya chuma, na neno la Mungu kama upanga mnaopewa na Roho Mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Upokeeni wokovu kama kofia yenu ya chuma, na neno la Mungu kama upanga mnaopewa na Roho Mtakatifu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho wa Mungu, ambao ni neno la Mungu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho wa Mwenyezi Mungu, ambao ni Neno la Mungu.

Tazama sura Nakili




Waefeso 6:17
20 Marejeleo ya Msalaba  

Akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, illa kwa killa neno litokalo katika kinywa cha Mungu.


Yesu akamwambia. Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.


kusudi alitakase na kulisafisha kwa maji, na kwa Neno;


Lakini sisi tulio wa mchana, tuwe na kiasi, tukijivika kifuani imani na upendo, na chepeo yetu iwe tumaini la wokofu.


Maana Neno la Mungu li hayi, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko ukali wa upanga ukatao kuwili, tena lachoma kiasi cha kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.


na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za zamani zijazo,


Nae alikuwa na nyota saba katika mkono wake wa kuume: na upanga mkali, mkali kuwili, watoka katika kinywa chake; na uso wake kama jua likingʼaa kwa nguvu zake.


Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; wala hawakupenda maisha yao hatta wakati wa kufa.


Na upanga mkali hutoka kinywani mwake awapige mataifa kwa huo. Nae atawachunga kwa fimbo ya chuma, nae anakanyaga shinikizo la mvinyo ya ukali wa ghadhabu ya Mungu Mwenyiezi.


Tubu; na usipotubu naja kwako upesi, nitafanya vita juu yako kwa upanga wa kinywa changu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo