Waefeso 6:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 na kufungiwa miguu bali ya kuwa fayari tupatayo kwa Injili ya amani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 na hamu ya kutangaza Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 na hamu ya kutangaza Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 na hamu ya kutangaza Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 nayo miguu yenu ivalishwe viatu vya utayari tunaopata katika Injili ya amani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 nayo miguu yenu ifungiwe utayari tuupatao kwa Injili ya amani. Tazama sura |