Waefeso 5:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192133 Illakini killa mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; na mke asikose kumstahi mumewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Lakini yanawahusu nyinyi pia: Kila mume lazima ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe, naye mke anapaswa kumstahi mumewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Lakini yanawahusu nyinyi pia: Kila mume lazima ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe, naye mke anapaswa kumstahi mumewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Lakini yanawahusu nyinyi pia: kila mume lazima ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe, naye mke anapaswa kumstahi mumewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe. Tazama sura |