Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 5:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 kwa kuwa tu viungo vya mwili wake, na nyama yake, na mifupa yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 maana sisi ni viungo vya mwili wake).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 maana sisi ni viungo vya mwili wake).

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 maana sisi ni viungo vya mwili wake).

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Sisi tu viungo vya mwili wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Sisi tu viungo vya mwili wake.

Tazama sura Nakili




Waefeso 5:30
7 Marejeleo ya Msalaba  

vivyo na sisi tulio wengi tu mwili mmoja katika Kristo, na sisi sote tu viungo killa mmoja kwa wenzake.


Hamjui ya kuwa miili yenu ni viungo vya Kristo? Bassi nivitwae viungo vya Kristo na kuvifanya viungo vya kahaha? Hasha!


lililo mwili wake, ukamilifu wake akamilishae vitu vyote katika vyote.


maana hakuna mtu anaechukia mwili wtike, bali huulisha na kuutunza, kama Bwana anavyolitendea Kanisa;


wala hakishiki kiehwa, ambacho kwa yeye mwili wote ukiruzukiwa na kuungamanishwa kwa viungo na mishipa, hukua mkuo utokao kwa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo