Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Waefeso 5:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 maana hakuna mtu anaechukia mwili wtike, bali huulisha na kuutunza, kama Bwana anavyolitendea Kanisa;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Hakuna mtu yeyote auchukiaye mwili wake; badala ya kuuchukia, huulisha na kuuvika. Ndivyo naye Kristo anavyolitunza kanisa,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Hakuna mtu yeyote auchukiaye mwili wake; badala ya kuuchukia, huulisha na kuuvika. Ndivyo naye Kristo anavyolitunza kanisa,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Hakuna mtu yeyote auchukiaye mwili wake; badala ya kuuchukia, huulisha na kuuvika. Ndivyo naye Kristo anavyolitunza kanisa,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Hakuna mtu anayeuchukia mwili wake mwenyewe, bali huulisha na kuutunza vizuri, kama Al-Masihi anavyoitunza jumuiya yake ya waumini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Hakuna mtu anayeuchukia mwili wake mwenyewe, bali huulisha na kuutunza vizuri, kama Al-Masihi anavyoitunza jumuiya yake ya waumini.

Tazama sura Nakili

Waefeso 5:29
13 Marejeleo ya Msalaba  

Ee Yerusalemi, Yerusalemi, wenye kuwaua manabii, na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! marra ngapi nimetaka kuwakusanya pamoja watoto wako, kama vile kuku avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake chini ya mbawa zake, wala hamkukubali!

Waangalieni ndege wa anga, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni awalisha hawo. Ninyi je! si bora kupita hawo?

wasio na ufahamu, wenye kuvunja maagano, wasiopenda jamaa zao, wasio na rehema,

Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendae mkewe hujipenda nafsi yake;

kwa kuwa tu viungo vya mwili wake, na nyama yake, na mifupa yake.

Kwa sababu hiyo mtu atamwacha haha yake na mama yake, ataamhatana na mkewe; nao wawili watakuwa mwili mmoja.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo