Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 5:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendae mkewe hujipenda nafsi yake;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Basi, waume wanapaswa kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. (

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Basi, waume wanapaswa kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. (

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Basi, waume wanapaswa kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. (

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.

Tazama sura Nakili




Waefeso 5:28
7 Marejeleo ya Msalaba  

akasema. Kwa sababu hii, mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe; na hawo wawili watakuwa mwili mmoja?


Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake,


maana hakuna mtu anaechukia mwili wtike, bali huulisha na kuutunza, kama Bwana anavyolitendea Kanisa;


Kwa sababu hiyo mtu atamwacha haha yake na mama yake, ataamhatana na mkewe; nao wawili watakuwa mwili mmoja.


Illakini killa mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; na mke asikose kumstahi mumewe.


Ninyi wanme kadhalika, kaeni na wake zenu kwa akili; mkimpa mke heshima, kama chombo kisieho nguvu, na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi sala zenu zisizuiliwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo