Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 5:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Kwa hivyo kama Kanisa limtumikiavyo Kristo, vivyo hivyo nao wake wawatumikie waume zao katika killa jambo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kama vile kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo, wake wawatii waume zao katika mambo yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kama vile kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo, wake wawatii waume zao katika mambo yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kama vile kanisa linavyomtii Kristo, vivyo hivyo, wake wawatii waume zao katika mambo yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Basi, kama vile jumuiya ya waumini wanavyomtii Al-Masihi, vivyo hivyo na wake nao imewapasa kuwatii waume zao kwa kila jambo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Basi, kama vile jumuiya ya waumini inavyomtii Al-Masihi, vivyo hivyo na wake nao imewapasa kuwatii waume zao kwa kila jambo.

Tazama sura Nakili




Waefeso 5:24
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wale sabaini wakarudi kwa furaha, wakisema, Bwana, hatta pepo wanatutii kwa jina lako.


Maana mume ni kichwa cha mke, kama nae Kristo ni kichwa cha kanisa; nae ni mwokozi wa mwili.


Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake,


Illakini killa mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; na mke asikose kumstahi mumewe.


Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jamlio hili lapendeza katika Bwana.


Ninyi watumwa, watiini wao ambao kwa niwili ni bwana zenu, katika mambo yote, si kwa utumwa wa macho, kama wajipendekezao kwa wana Adamu, bali kwa unyofu wa moyo, mkimeha Mungu.


katika mambo yote ukijionyesha kuwa namna ya matendo mema, katika mafundisho yako ukionyesha usahihi na ustahifu,


Watumwa wawatii Bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo