Waefeso 5:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192122 Ninyi wake, watumikieni waume zenu kama kumtumikia Bwana wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Ninyi wake, watiini waume zenu kama vile mnavyomtii Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Ninyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana Isa. Tazama sura |