Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 5:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 mkitumikiana katika khofu ya Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Kila mmoja amstahi mwenzake kwa sababu ya heshima mliyo nayo kwa Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Kila mmoja amstahi mwenzake kwa sababu ya heshima mliyo nayo kwa Kristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Kila mmoja amstahi mwenzake kwa sababu ya heshima mliyo nayo kwa Kristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kutokana na kumcha Al-Masihi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kwa heshima kwa ajili ya Al-Masihi.

Tazama sura Nakili




Waefeso 5:21
20 Marejeleo ya Msalaba  

bassi watiini watu kama hawa, na killa mtu afanyae kazi pamoja nao, na kujitaabisha.


Bassi tukiijua khofu ya Bwana, twawavuta wana Adamu; lakini tumedhihirishwa mbele za Mungu. Nami natumaini ya kuwa tunadhihirishwa katika dhamiri zenu pia.


BASSI, kwa kuwa tuna ahadi hizo, wapenzi, tujitakase nafsi zelu uchafu wote wa mwili na roho, tukitimiza utakatifu katika kumeha Mungu.


Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali khudumianeni kwa upendo.


Ninyi wake, watumikieni waume zenu kama kumtumikia Bwana wetu.


Kwa hivyo kama Kanisa limtumikiavyo Kristo, vivyo hivyo nao wake wawatumikie waume zao katika killa jambo.


Msitende neno lo lote kwa kushindana na kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, killa mtu na amhesabu mwenziwe kuwa hora kuliko nafsi yake;


Mwanamke na ajifunze kalika utulivu, akitii kwa killa namna.


mwenye kusimamia vema nyumba yake, ajuae kuwatiisha watoto wake pamoja na kustahiwa;


Watiini walio na mamlaka juu yenu, na kujinyenyekea kwao; maana wao wanakesha kwa ajili ya roho zenu, kama watu watakaotoa hesabu, illi wafanye hivyo kwa furaha wala si kwa kuugua; maana isingewafaa ninyi.


Tumikieni killa kiamriwacho na watu, kwa ajili ya Bwana; ikiwa mfalme, kama mwenye cheo kikuliwa;


Heshimuni walu wote. Upendeni udugu. Mcheni Mungu. Mpeni heshima mfalme.


Vivyo hivyo ninyi vijana, watiini wazee. Naam, ninyi nyote jifungeni unyenyekevu kama mshipi, mpate kukhudumiana; kwa sababu Mungu hushindana na wenye kiburi, huwapa wanyenyekevu neema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo