Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 5:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 mkiukomboa wakati, kwa maana zamani bizi zina novu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 mkiukomboa wakati, kwa sababu nyakati hizi ni za uovu.

Tazama sura Nakili




Waefeso 5:16
18 Marejeleo ya Msalaba  

Vilevile na yule mwenye mbili, yeye nae akachuma nyingine mbili faida.


Bassi Yesu akawaambia, Nuru ingali pamoja nanyi muda kitambo. Enendeni maadam mnayo ile nuru, giza lisije likawaweza; nae aendae gizani hajui aendako.


Na hayo, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia: kwa maana sasa wokofu u karibu yetu kuliko tulipoamini.


Bassi, naona hili kuwa jema, kwa ajili ya shidda hii tuliyo nayo, kwamba ni vyema mtu akae kama alivyo.


aliyejitoa nafsi yake kwa ajili ya dhambi zetu illi atuokoe na dunia hii mbovu iliyopo sasa, kama alivyopenda Mungu, Baba yetu:


Tuwapo na nafasi na tuwatendee watu wote mema; khassa watu walio wa nyumba ya imani.


Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kutimiza yote kusimama.


na kufungiwa miguu bali ya kuwa fayari tupatayo kwa Injili ya amani;


Enendeni kwa hekima mbele vao walio nje, mkiukomboa wakati.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo