Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 5:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Lakini yote yakemewapo, hudhihirishwa na nuru; maana killa kitu kinachodhihirisha ni nuru.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Lakini kila kitu kikifichuliwa na mwanga, ukweli wake hudhihirishwa;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Lakini kila kitu kikifichuliwa na mwanga, ukweli wake hudhihirishwa;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Lakini kila kitu kikifichuliwa na mwanga, ukweli wake hudhihirishwa;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Lakini kila kitu kilichowekwa nuruni, huonekana,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Lakini kila kitu kilichowekwa nuruni, huonekana,

Tazama sura Nakili




Waefeso 5:13
8 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi msihukumu neno kabla ya wakati wake, mpaka ajapo Bwana; nae atayamulika yaliyosetirika ya giza, na kuyadhihirisha mashauri ya mioyo; ndipo killa mtu atakapoipata sifa yake kwa Mungu.


kwa kuwa yanayotendeka nao kwa siri, ni aibu hatta kuyanena.


Je! yuko malaika aliyeambiwa nae maneno haya wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume hatta nitakapoweka adui zako chiui ya nyayo zako?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo