Waefeso 4:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Kwa biyo asema, Alipopanda juu, aliteka mateka, Akawapa watu vipawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kama yasemavyo Maandiko: “Alipopaa mbinguni juu kabisa, alichukua mateka; aliwapa watu zawadi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kama yasemavyo Maandiko: “Alipopaa mbinguni juu kabisa, alichukua mateka; aliwapa watu zawadi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kama yasemavyo Maandiko: “Alipopaa mbinguni juu kabisa, alichukua mateka; aliwapa watu zawadi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa hiyo husema: “Alipopaa juu zaidi, aliteka mateka, akawapa wanadamu vipawa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa hiyo husema: “Alipopaa juu zaidi, aliteka mateka, akawapa wanadamu vipawa.” Tazama sura |