Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Waefeso 4:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 mkijitahidi kuuhifadhi umoja wa Roho katika kifungo cha amani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Fanyeni bidii ya kuhifadhi umoja uletwao na Roho kwa kuzingatia amani iliyo kati yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Jitahidini kudumisha umoja wa Roho wa Mungu katika kifungo cha amani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Jitahidini kudumisha umoja wa Roho wa Mwenyezi Mungu katika kifungo cha amani.

Tazama sura Nakili




Waefeso 4:3
16 Marejeleo ya Msalaba  

Na ufalme nkilitinika juu ya nafsi yake ufalme ule hauwezi kusimama;


Amri mpya nawapeni, mpendane; kama vile nilivyowapenda ninyi, na ninyi mpendane vivyo hivyo.


Nawasihi ninyi, ndugu, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo, mnene nyote mamoja, pasiwe kwenu faraka, bali mwe mmekhitimu katika nia moja na shauri moja.


Khatimae, ndugu, kwa kherini; mtimilike, mfarajike, nieni mamoja, mkae katika imani; na Mungu wa upendo na amani awe pamoja nanyi.


hatta wote tutakapoufikia umoja wa imani, na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, tuwe watu wakamilifu, hatta cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo;


Mwili mmoja, na Roho moja, kama na mlivyoitwa katika tumaini moja la wito wenu;


mkawastahi sana katika upendo, kwa ajili ya kazi zao. Mwe na amani ninyi kwa ninyi.


Fanyeni bidii kutafuta amani kwa watu wote, na utakatifu, ambao hapana mtu atakaemwona Mungu asipokuwa nao;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo